• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Complains |
Karatu District Council
Karatu District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dhamira na Dira
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
  • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
    • Hali ya Uwekezaji
      • Business License Form
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha

Huduma ya Afya

      MAJUKUMU NA KAZI ZA IDARA YA AFYA

  1. Kuandaa mipango kabambe ya afya ambayo inatilia mkazo mahitaji yote ya afya ya halmashauri kwa kuzingatia mwongozo wa Kitaifa wa Wilaya wa mipango ya afya
  2. Kuhakikisha kuwa hospitali, vituo vya afya na zahanati zinatekeleza shughuli za afya, na jamii inamiliki rasilimali kama inavyoelekeza mpango kabambe wa afya wa halmashauri
  3. Kuhakikisha upatikanaji wa usafiri, dawa muhimu, chanjo, madawa, vifaa vya tiba, vifaa na kemikali za maabara katika hospitali, vituo vya afya na zahanati
  4. Kuwa tayari kukabiliana na magonjwa ya milipuko, maafa na kupanga mipango ya kudhibiti na kuzuia
  5. Kuhakikisha kuwa watumishi wa afya walioko katika ngazi mbalimbali kwenye halmashauri wanapata nyenzo za kuwawezesha kufanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa shughuli za afya
  6. Kuhakikisha kuwa huduma za afya zitolewazo zinalingana na viwango vya kitaifa.
  7. Kuhakikisha kuwa halmashauri inazingatia na kufuata sheria zilizowekwa, kanuni, maadili ya kitaalamu na mwenendo wa tabia wa viongozi na watumishi
  8. Kuhakikisha kuwa watumishi wa afya wanakusanya takwimu, wanazichambua, wanazitumia katika mipango, wanatekeleza mipango hiyo na wanatoa mrejesho
  9. Kutambua maeneo ya kipaumbele, kusimamia na kufanya utafiti wa utendaji kazi katika halmashauri
  10. Kujumuisha na kuchambua taarifa za utekelezaji na fedha za robo mwaka na kuziwasilisha kwa Bodi ya Afya ya halmashauri na timu ya uendeshaji wa huduma za afya ya mkoa
  11. Kusimamia mikutano ihusuyo wataalamu wa afya wanaotoa huduma za afya kwenye halmashauri ili kuweza kutambua na kuratibu shughuli zote za afya
  12. Kusimamia na kusaidia huduma za afya ambazo zipo nje na zilizoko mbali kutoka vituo vya kutolea huduma za afya (“outreach services”)
  13. Kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa shughuli za afya kwenye halmashauri
  14. Kumshauri Mkurugenzi Mtendaji kuhusu masuala yote ya afya ndani ya Wilaya

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2020 January 15, 2021
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2020 January 15, 2021
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • WACHIMBAJI WAASWA KUTOJIHUSISHA, UTOROSHAJI WA MADINI

    January 15, 2021
  • UMAKINI WAHITAJIKA UJENZI WA MIUNDO MBINU YA ELIMU

    January 12, 2021
  • VIJANA WAPONGEZWA, KUHITIMU MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA

    January 09, 2021
  • ARDHI NI HAKI YA KILA MTU

    December 04, 2020
  • Angalia Zote

Video

NDUGU. EDWARD MAURA MWENYEKITI WA BARAZA LA WAFUGAJI NGORONGORO
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fursa za Uwekezaji

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Wizara ya Fedha na Mipango
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karatu District Council

    Sanduku la Posta: P.O Box 190

    Simu: +255 272970648

    Simu ya Mkononi: 0783-577 052

    Barua Pepe: ded@karatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Karatu.Haki zote zimehifadhiwa