• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Complains |
Karatu District Council
Karatu District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dhamira na Dira
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
  • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
    • Hali ya Uwekezaji
      • Business License Form
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha

Elimu ya Sekondari

             MAJUKUMU YA IDARA ELIMU SEKONDARI

  • Kuiwakilisha wizara katika halmashauri kuhusu masuala ya elimu sekondari .
  • kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na kanuni zinazoongoza utoaji wa elimu ya sekondari
  • kusimamia upanuzi wa elimu ya sekondari katika halmashauri
  • kusimamia haki na maslahi ya walimu na watumishi wengine wa ngazi ya elimu ya sekondari katika halmashauri
  • kusimamia na kudhibiti akaunti ya elimu ya sekondari na kuhakikisha kuwa fedha za elimu ya sekondari zinatumika kama ilivyokusudiwa
  • kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya elimu ya sekondari
  • kufuatilia na kutathmini maendeleo ya elimu ya sekondari katika halmashauri
  • kuhakikisha kuwa shule zote za sekondari katika halmashauri zinainua ubora wa mazingira ya kujifunzia na kujifundishia ikiwa ni pamoja na utunzaji wa madarasa, nyumba za walimu, maabara, maktaba na vyoo
  • kusimamia tathmini  ya wazi ya utendaji kazi (Open Performance Review and Appraisal System -OPRAS)  kwa walimu na watumishi wa sekondari
  • kuhimiza udhibiti wa nidhamu ya walimu, watumishi na wanafunzi wa shule  za sekondari katika halmashauri
  • kumshauri mkurugenzi wa halmashauri kuhusu masuala yote ya elimu ya sekondari 

Halmashauri ya Wilaya ya Karatu ina jumla ya Taasisi za  shule za Elimu ya Sekondari 35 ,kati ya hizo zinazomilikiwa na serikali ni 32, na zisizomilikiwa na serikali ni 3.

Idadi ya walimu ni 595 katika shule zote za sekondari, idadi ya wanafunzi katika shule za sekondari zinazomilikiwa na serikali ni 11955 na jumla ya wanafunzi katika shule za sekondari zinazomilikiwa na taasisi binafsi ni 728

Matangazo

  • WALIOCHANGULIWA KIDATO CHA KWANZA - 2023, HALMASHAURI YA KARATU December 14, 2022
  • LAKE EYASI CULTURAL TOURISM PROGRAM NEW ENTRY FEE December 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA 111 NA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA 11 May 07, 2021
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • MIAKA (61) YA UHURU MKUU WA WILAYA YA KARATU MHE DADI HORICE KOLIMBA AFUNGUA MDAHALO WA MAENDELEO WILAYA YA KARATU.

    December 09, 2022
  • MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANGANYIKA

    December 09, 2022
  • MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANGANYIKA

    December 09, 2022
  • LAKE EYASI CULTURAL TOURISM TO BE IMPROVED

    November 08, 2022
  • Angalia Zote

Video

NDUGU. EDWARD MAURA MWENYEKITI WA BARAZA LA WAFUGAJI NGORONGORO
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fursa za Uwekezaji

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Wizara ya Fedha na Mipango
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karatu District Council

    Sanduku la Posta: P.O Box 190

    Simu: +255 272970648

    Simu ya Mkononi: 0754266833

    Barua Pepe: ded@karatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Karatu.Haki zote zimehifadhiwa