• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Complains |
Karatu District Council
Karatu District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dhamira na Dira
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
  • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
    • Hali ya Uwekezaji
      • Business License Form
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha

BARAZA: BAJETI LAZIMA IFANYIWE MAPITIO UPYA

Posted on: February 15th, 2019

Kikao cha baraza la madiwani  kimekaa leo ili kupitisha bajeti ya maendeleo ya serikali mwaka 2019/20.  Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya karatu na kilikuwa na ajenda moja tuu ya kujadili bajeti.

Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Jublate Mnyenye ndiye aliyeongoza kikao. Mwenyekiti alianza  kwa kusoma barua ya mabadiliko ya asilimia ya mapato ya ndani kwa Halmashauri ambayo inapaswa kutumika katika miradi ya maendeleo na ile inayopaswa kutumika katika matumizi ya kawaida. Barua hiyo yenye kumbu. Na.CE.CCE.325 / 387 / 02 / 13 ya tarehe  12 / Feb / 2019 kutoka Tamisemi, imesema madaraja yanaendelea kuwa mawili ( A na B ) kama ilivyo sasa. Daraja A lina Halmashauri 16 na daraja B lina Halmashauri 169, Halmashauri zilizo katika daraja A zitatumia  40% ya mapato yake  ya ndani kwenye matumizi ya kawaida, na 60% itatumika katika miradi ya maendeleo. Halmashauri za daraja B zitatumia 40 % ya mapato katika miradi ya maendeleo na 60% ya mapato kwenye matumizi ya kawaida.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Ndugu, Godfrey Luguma amesema bajeti lazima iboreshwe na iendane na kilichoelekezwa kulingana na barua ya mabadiliko ya bajeti waliyoipokea kutokea Tamisemi.

Mhe. John Lucian amesema jambo hilo ni kubwa na wakitaka wakae vikao vyote na walipwe wataadhiri bajeti iliyopo mbele. Ameomba busara kutumika, kwani kutoka  60%  kwenda  40 % fedha zitakazo toka ni kidogo, amewaomba waheshimiwa madiwani kujitoa kwenye jambo hilo kwa sababu hali ni mbaya kwenye vyanzo vya ndani vya mapato ya Halmashauri.

Mhe. William Qambalo amesema kwa namna bajeti iltakavyoainishwa itafanya madiwani watafute fedha kwa ajili ya kutekeleza miradi katika maeneo yao. Amesema ni vyema swala la bajeti likapitia tena  katika kamati ili kuweza kujua miradi ambayo itafanyiwa kazi katika mwaka ujao wa fedha.

Matangazo

  • WALIOCHANGULIWA KIDATO CHA KWANZA - 2023, HALMASHAURI YA KARATU December 14, 2022
  • LAKE EYASI CULTURAL TOURISM PROGRAM NEW ENTRY FEE December 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA 111 NA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA 11 May 07, 2021
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • MIAKA (61) YA UHURU MKUU WA WILAYA YA KARATU MHE DADI HORICE KOLIMBA AFUNGUA MDAHALO WA MAENDELEO WILAYA YA KARATU.

    December 09, 2022
  • MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANGANYIKA

    December 09, 2022
  • MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANGANYIKA

    December 09, 2022
  • LAKE EYASI CULTURAL TOURISM TO BE IMPROVED

    November 08, 2022
  • Angalia Zote

Video

NDUGU. EDWARD MAURA MWENYEKITI WA BARAZA LA WAFUGAJI NGORONGORO
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fursa za Uwekezaji

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Wizara ya Fedha na Mipango
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karatu District Council

    Sanduku la Posta: P.O Box 190

    Simu: +255 272970648

    Simu ya Mkononi: 0754266833

    Barua Pepe: ded@karatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Karatu.Haki zote zimehifadhiwa