• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Complains |
Karatu District Council
Karatu District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dhamira na Dira
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
  • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
    • Hali ya Uwekezaji
      • Business License Form
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha

JENGO LA GEREZA LA MAHABUSU KUANZA KUFANYA KAZI MWEZI UJAO

Posted on: March 12th, 2021

Na Tegemeo Kastus

Ujenzi wa nyumba mbili za watumishi na jengo la magereza ya mahabusu unatarajiwa kuanza kutumika baada ya mwezi mmoja kuanzia sasa Karatu. Hizo ni jitihada za kuongeza kasi ya usikilizaji wa mashauri ya kesi zinazofanyika katika wilaya ya Karatu ambazo mahabusu wengi hulazimika kuwekwa kisongo na kuletwa siku ya usikilizwaji wa kesi zao.

Hayo yamesemwa na waziri wa Mambo ya ndani Mh. George Simbachawene alipotembelea eneo linalojengwa Gereza la Mahabusu huko njia panda Karatu. Amesema majengo ya sero yameshakamilika zilizobaki ni nyumba za watumishi na kujengwa uzio katika jengo la mahabusu. Mh. Simbachawene amesema amemuelekeza Mkuu wa jeshi la magereza Tanzania   kuhakikisha ujenzi na ukarabati wa nyumba mbili za askari pamoja na ujenzi wa uzio unakamilika ndani ya kipindi kisichopungua mwezi mmoja, ili mahabusu waanze kusikilizwa kesi zao wakiwa Karatu.

Mh. George Simbachawene akikagua jengo la magereza ya mahabusu.

Mh. Simbachawene ametembelea kituo cha polisi Karatu na kuzungumza na askari amesema mafanikio yoyote katika taifa lete; mwelekeo wa ujenzi wa viwanda, muelekeo wa ujenzi wa miundo mbinu ya msingi ya uchumi inategemea ulinzi wa jeshi la polisi. Amesema lazima askari wafanye kazi kwa kuangalia kiapo na kufanya kazi na rai wema kupata taarifa za watu wabaya.

Jeshi la polisi lifanya kazi zake vizuri amewasisitiza jeshi la polisi kusimamia haki za watu, amesema jeshi la polisi halipaswi kusimama na wahalifu au kujihusisha na kuwaonea watu. Amesema ni jukumu la askari kuhakikisha  mwananchi mnyonge haki yake inalindwa. Zamani heshima ya mtu haikutokana na uwezo wake wa kifedha au cheo chake heshima ya mtu ilitokana na namna mtu anavyoishi na watu.

Mh. Simbachawene ameasa jeshi la polisi kuacha rusha na makosa yanayowapelekea kufukuzwa kazi. Amesema anajua kunachangamoto nyingi zinazokabili jeshi la polisi, amesema licha ya changamoto hizo askari waendelee kufanya kazi kwa uadilifu. Mazingira yatazidi kuwa mazuri kadri uchumi wetu unavyozidi kukua.Ulinzi na amani unategemea san

Matangazo

  • WALIOCHANGULIWA KIDATO CHA KWANZA - 2023, HALMASHAURI YA KARATU December 14, 2022
  • LAKE EYASI CULTURAL TOURISM PROGRAM NEW ENTRY FEE December 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA 111 NA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA 11 May 07, 2021
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • MIAKA (61) YA UHURU MKUU WA WILAYA YA KARATU MHE DADI HORICE KOLIMBA AFUNGUA MDAHALO WA MAENDELEO WILAYA YA KARATU.

    December 09, 2022
  • MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANGANYIKA

    December 09, 2022
  • MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANGANYIKA

    December 09, 2022
  • LAKE EYASI CULTURAL TOURISM TO BE IMPROVED

    November 08, 2022
  • Angalia Zote

Video

NDUGU. EDWARD MAURA MWENYEKITI WA BARAZA LA WAFUGAJI NGORONGORO
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fursa za Uwekezaji

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Wizara ya Fedha na Mipango
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karatu District Council

    Sanduku la Posta: P.O Box 190

    Simu: +255 272970648

    Simu ya Mkononi: 0754266833

    Barua Pepe: ded@karatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Karatu.Haki zote zimehifadhiwa