• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Complains |
Karatu District Council
Karatu District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dhamira na Dira
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
  • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
    • Hali ya Uwekezaji
      • Business License Form
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha

KARATU KUPIGA HATUA KIELIMU

Posted on: September 8th, 2018

Mkuu wa wilaya ya Karatu Mhe. Theresia Mahongo amekabidhi pikipiki kumi na nne kwa maafisa elimu kata mbele ya ofisi za Halmashauri. Zoezi ambalo limeshuhudiwa na, mwenyekiti wa Halmashauri Mhe, Gerson Mnyenye katibu tawala wa wilaya Ndg Abbas Kayanda  na Mkurugenzi mtendaji Ndg Waziri Mourice.

Mhe Theresia Mahongo amesema  pikipiki walizopewa zitaongeza ari ya utendaji kazi na uwajibikaji. matarajio ni kuongeza idadi ya wanafunzi wa darasa la kwanza mpaka kufikia asilimia mia moja. Ni aibu kwa mwanafunzi  kumaliza darasa la saba  bila kujua kusoma kuandika na kuhesabu.  Mkuu wa wilaya amewataka kutumia pikipiki kwa ajili ya shughuli za kazi na siyo shughuli binafsi. Mkuu huyo wa wilaya amemuomba mkurugenzi atenge gharama za matengenezo katika bajeti yake ya mwaka. Kata zilizopewa pikipiki ni Karatu, Ganako, Rhotia, Mbulumbulu, Qurus, Endamarariek, Endabash, Burger, Kansay, Oldean, Daa, Endamaghan, Mang’ola na Baray.

Mwenyekiti wa Halimashauri Mhe.Gerson Mnyenye alisisitiza  maafisa elimu kata wachukue pikipiki hizo na ziwaongezee ari ya kufanya kazi kwa ufanisi. Mhe. Gerson alisema mtihani wa darasa la saba  umebadilika sasa hivi wanafunzi wanamaswali ya kujieleza. Ukilinganisha na hali ilvyokuwa zamani wanafunzi walikuwa wanashedi maswali yote. Mhe mwenyekiti alimuomba mkurugenzi  mtendaji  kugharamia fedha za matengenezo kwa pikipiki hizo kwa kipindi cha mwaka  mmoja.

Mkurugenzi mtendaji Ndg. Waziri Mourice katika hotuba yake ya ufunguzi alisema gharama za pikipiki hizo ni shilling za kitanzania million tisini na moja na zimenunuliwa na serikali kuu. Halmashuri imegharamia million moja na laki nne  kama gharama za usafirishaji. Pikipiki hizi zinauwezo wa kutembea kilometa ishirini na tano kwa lita moja. Mkurugenzi alitoa lita tano kwa kila afisa elimu aliyepewa pikipiki na afisa elimu wa kata ya Baray yeye alipewa mafuta zaidi kutokana na umbali mrefu anaotoka.  


Matangazo

  • WALIOCHANGULIWA KIDATO CHA KWANZA - 2023, HALMASHAURI YA KARATU December 14, 2022
  • LAKE EYASI CULTURAL TOURISM PROGRAM NEW ENTRY FEE December 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA 111 NA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA 11 May 07, 2021
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • MIAKA (61) YA UHURU MKUU WA WILAYA YA KARATU MHE DADI HORICE KOLIMBA AFUNGUA MDAHALO WA MAENDELEO WILAYA YA KARATU.

    December 09, 2022
  • MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANGANYIKA

    December 09, 2022
  • MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANGANYIKA

    December 09, 2022
  • LAKE EYASI CULTURAL TOURISM TO BE IMPROVED

    November 08, 2022
  • Angalia Zote

Video

NDUGU. EDWARD MAURA MWENYEKITI WA BARAZA LA WAFUGAJI NGORONGORO
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fursa za Uwekezaji

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Wizara ya Fedha na Mipango
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karatu District Council

    Sanduku la Posta: P.O Box 190

    Simu: +255 272970648

    Simu ya Mkononi: 0754266833

    Barua Pepe: ded@karatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Karatu.Haki zote zimehifadhiwa