• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Complains |
Karatu District Council
Karatu District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dhamira na Dira
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
  • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
    • Hali ya Uwekezaji
      • Business License Form
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha

MAFUNZO YA TASSAF YAPAMBA MOTO VIJIJINI

Posted on: June 27th, 2019

Wawezeshaji wa Tassaf ngazi ya taifa wameingia katika mafunzo ka njia ya vitendo, juu ya namna bora ya uendeshaji wa vikundi. Mafunzo hayo ya vitendo yatafanyika kwa mda siku mbili ili kuwajengea uwezo wa wawezeshaji wa ngazi ya wilaya ili kuongeza uelewa na kuwajengea uwezo kiutendaji.

Ndugu Masejo Songo afisa ufuatiliaji Tassaf amesema mafunzo hayo yalilenga uwezeshaji ngazi ya wilaya ili baadae wasaidie vikundi vya uwekaji na uwekezaji ngazi ya kijiji. Amesema ni  matumaini kwamba mafunzo hayo hayataishia hapo yatakuwa endelevu na yatawaletea maendeleo makubwa kwa wanavikundi walio katika ngazi kijiji kwa kutoa elimu nzuri. Ndugu Masejo amesema malengo yao ni kuona wawezeshaji wanasimamia vizuri vikundi vyote vya kuweka na kuwekeza katika ngazi ya kijiji. Amesema lengo ni kusaidia wanavikundi kupata uelewa mkubwa wa kupata mikopo namna ya kuweka akiba kukopa mikopo na  kuwekeza ili kuboresha maisha ya wanavikundi. Amesema mafunzo yameenda vizuri ngazi ya kijiji kwa sababu walenga wameonesha utofauti ya ufahamu walio kuwa nao kabla ya mafunzo na baada ya kupata  mafunzo.

Bi, Judith Jakobo muwezeshaji ngazi ya taifa ameshukuru wawezeshaji wa wilaya kwa kupokea mafunzo vizuri. Amesema wakufunzi wa ngazi ya wilaya wameweza kutoa elimu vizuri katika ngazi ya kijiji. Kazi hiyo ya mafunzo kwa muda wa siku tano imekuwa na ufanisi mkubwa, amesema kabla ya mafunzo walengwa wengi walikuwa hawatumii fedha kwa malengo yaliyokusudiwa.  Mafunzo haya yamelenga kujenga uelewa mkubwa kwa walenga kama kujifunza kutunza na kujaza vitabu vya  kumbukumbu ya fedha. Kujifunza kutunza fedha zao na kujua fedha zao jinsi gani zitakavyotoka na jinsi gani zitavyorudi na jinsi gani watafanya mgawanyo wao wa fedha kwa namna walivyoweka. Bi, Judith amesema wamewafundisha pia namna ya kuaanda mpango kazi katika vikundi vyao.

Bi, Judith amesema vikundi vya kuweka na kuwekeza vimesaidia sana walengwa kujikwamua kiuchumi.  Amesema kuna walengwa wamepata mitaji ya kuwekeza katika kilimo, mifugo na kupata uwezo wa kuwasaidia kununua vifaa vya shule kwa watoto wao.

Matangazo

  • WALIOCHANGULIWA KIDATO CHA KWANZA - 2023, HALMASHAURI YA KARATU December 14, 2022
  • LAKE EYASI CULTURAL TOURISM PROGRAM NEW ENTRY FEE December 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA 111 NA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA 11 May 07, 2021
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • MIAKA (61) YA UHURU MKUU WA WILAYA YA KARATU MHE DADI HORICE KOLIMBA AFUNGUA MDAHALO WA MAENDELEO WILAYA YA KARATU.

    December 09, 2022
  • MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANGANYIKA

    December 09, 2022
  • MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANGANYIKA

    December 09, 2022
  • LAKE EYASI CULTURAL TOURISM TO BE IMPROVED

    November 08, 2022
  • Angalia Zote

Video

NDUGU. EDWARD MAURA MWENYEKITI WA BARAZA LA WAFUGAJI NGORONGORO
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fursa za Uwekezaji

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Wizara ya Fedha na Mipango
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karatu District Council

    Sanduku la Posta: P.O Box 190

    Simu: +255 272970648

    Simu ya Mkononi: 0754266833

    Barua Pepe: ded@karatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Karatu.Haki zote zimehifadhiwa