• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Complains |
Karatu District Council
Karatu District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dhamira na Dira
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
  • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
    • Hali ya Uwekezaji
      • Business License Form
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha

UMBAGW; WANANCHI WAPATA AHUENI YA HUDUMA ZA MAJI

Posted on: August 29th, 2019

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo ametembelea mradi wa maji katika kijiji cha Umbagw pamoja na kuzungumza na wananchi. Mradi huo wa maji umetengenezwa na shirika la world vision Tanzania.

Mhe. Gambo ametembelea eneo la mtambo wa maji unaoendeshwa kwa nguvu za jua pamoja na kupewa maelekezo ya kitaalam namna mradi unavvyofanya kazi. Zoezi hilo lilienda sambamba na kupanda miti iliyozunguka eneo lillojengwa mtambo wa kuzunguka maji Mhe. Gambo amelipongeza shirika la world vision kwa kusaidia kutengeneza miundo ya maji na watu kupata maji katika kijiji Umbagw tarafa ya Endabash. Amesema world vision wanashirikiana vizuri na serikali ndio maana miradi inatekelezeka. Mkuu wa mkoa amesema wataendelea kufuatilia na kuhakikisha pampu ya maji kijiji cha Kambi ya Faru inapatikana kwa sababu fedha tayari ilishatengwa kwa ajili ya kununua pampu mpya. Amesema mradi wa maji Kansay unaogharimu kiasi cha shilling million 139 ili ukamilike, amesema atawasiliana na vyombo husika kuhakikisha mradi huo unakamilika.

Mkuu wa Mkoa mhe. Mrisho Gambo akiapanda mji katika eneo la mradi wa mashine za kusukuma maji.

Danieli Kirima mwakilishi wa world vision amesema furaha yao ni kuona watu wanakunywa maji safi na salama.  Amesema world vision ni wadau wa wananchi na serikali, tayari wameandaa andiko la awali ambalo litasadia kupata fedha kiasi cha billion 4 kujenga miundo mbinu ya maji Laja na vijiji vingine vinavyozunguka eneo hilo. Ameomba wananchi kuendelea kuvuta subira, wakati shirika likijiandaa kwa utekelezaji wa mradi huo baada ya ombi la andiko la utekelezaji kupita.

Naye mukazi wa kijiji cha Umbagw Petrolina  Nicodem ameshukuru serikali kwa kuwapatia maji katika kijiji cha umbagw. Amesema walikuwa wanatembea umbali zaidi ya km12 kufuata maji, amesema umbali wa km 12 ukizidisha kwa siku 360 za mwaka ni umbali mrefu sana. Ameomba serikali kuongeza (DP) Pampu za za maji ili vitongoji mbalimbali katika vijiji hivyo viweze kupata maji.

Matangazo

  • WALIOCHANGULIWA KIDATO CHA KWANZA - 2023, HALMASHAURI YA KARATU December 14, 2022
  • LAKE EYASI CULTURAL TOURISM PROGRAM NEW ENTRY FEE December 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA 111 NA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA 11 May 07, 2021
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • MIAKA (61) YA UHURU MKUU WA WILAYA YA KARATU MHE DADI HORICE KOLIMBA AFUNGUA MDAHALO WA MAENDELEO WILAYA YA KARATU.

    December 09, 2022
  • MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANGANYIKA

    December 09, 2022
  • MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANGANYIKA

    December 09, 2022
  • LAKE EYASI CULTURAL TOURISM TO BE IMPROVED

    November 08, 2022
  • Angalia Zote

Video

NDUGU. EDWARD MAURA MWENYEKITI WA BARAZA LA WAFUGAJI NGORONGORO
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fursa za Uwekezaji

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Wizara ya Fedha na Mipango
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karatu District Council

    Sanduku la Posta: P.O Box 190

    Simu: +255 272970648

    Simu ya Mkononi: 0754266833

    Barua Pepe: ded@karatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Karatu.Haki zote zimehifadhiwa