• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Complains |
Karatu District Council
Karatu District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dhamira na Dira
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
  • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
    • Hali ya Uwekezaji
      • Business License Form
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha

VIJANA WAPONGEZWA, KUHITIMU MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA

Posted on: January 9th, 2021

Mkuu wa wilaya ya Karatu, Mh. Abbas Kayanda amehitimisha mafunzo ya kumi ya jeshi la akiba katika kijiji cha Matala. Wanafunzi themanini na sita kati wanafunzi mia thelathini na sita ndio waliohitimu mafunzo ya jeshi la akiba kati yao wanawake ni wanne na wanaume ni sabini na saba.                                                                                                                                          

Mh. Kayanda  amewapongeza vijana kwa moyo wao wa uzalendo walioonesha katika kuitumikia nchi yao. Amesema katika kijiji cha Matala kumekuwa hakuna historia nzuri ya ulinzi na usalama hivyo mafunzo waliyopata vijana wa jeshi la akiba wayatumie vizuri katika kuimarisha ulinzi na usalama katika kijiji cha Matala.  Serikali itatumia vijana hao waliomaliza mafunzo katika jeshi la akiba katika shughuli mbalimbali za kitaifa kama usimamizi wa mitihani na uchaguzi ili kupunguza gharama kubwa ta kuleta askari Mang’ola au Karatu kuja kufanya shughuli hizo.                               

 

Mh. Kayanda amewaasa vijana hao kutotumia vibaya mafunzo waliyoyapata na badala yake wazingatie misingi ya kiapo cha kwa kujikita katika kufanya kazi kwa kusimamia sheria bila kumuonea mtu au kufanya kazi kwa upendeleo.  Akizungumzia kuhusu elimu Mh. Kayanda amesema shule zitafunguliwa mwezi wa kwanza tarehe kumi na moja amehimiza wazazi kuhakikisha watoto wote waliofaulu  kwenda shule  wanaenda shule na watoto wote waliofikia umri wa kuanza darasa la awali na darasa la kwanza  wanakwenda shule. Ametoa maelekezo kwa Mwenyekiti   wa kijiji cha matala kuhakikisha mpaka tarehe kumi na nne mwezi wanafunzi wote wawe wameripoti shule kwa sababu serikali inatoa elimu bure hivyo mzazi hana kisingizio cha kutompeleka mtoto shule.                                                                                                   

 Akitoa taarifa yake kwa mgeni rasmi  Mshauri wa Mgambo wilaya ya Karatu  Kaptain Komba amesema mafunzo ya jeshi la akiba yamewasaidia vijana kupata elimu ya somo la uraia, mbinu mbalimbali za kivita, utimamu wa mwili elimu ya uhamiaji, elimu ya zimamoto.   Amesema changamoto walizopata wakati wa kutekeleza mafunzo ya jeshi la akiba kwa vijana hao ni pamoja na wazee wa kimila kutowaruhusu vijana kushiriki mafunzo, utoro uliokithiri kwa wanafunzi wa mafunzo ya jeshi la akiba na matatizo ya kiafya.            

Matangazo

  • WALIOCHANGULIWA KIDATO CHA KWANZA - 2023, HALMASHAURI YA KARATU December 14, 2022
  • LAKE EYASI CULTURAL TOURISM PROGRAM NEW ENTRY FEE December 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA 111 NA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA 11 May 07, 2021
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • MIAKA (61) YA UHURU MKUU WA WILAYA YA KARATU MHE DADI HORICE KOLIMBA AFUNGUA MDAHALO WA MAENDELEO WILAYA YA KARATU.

    December 09, 2022
  • MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANGANYIKA

    December 09, 2022
  • MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANGANYIKA

    December 09, 2022
  • LAKE EYASI CULTURAL TOURISM TO BE IMPROVED

    November 08, 2022
  • Angalia Zote

Video

NDUGU. EDWARD MAURA MWENYEKITI WA BARAZA LA WAFUGAJI NGORONGORO
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fursa za Uwekezaji

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Wizara ya Fedha na Mipango
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karatu District Council

    Sanduku la Posta: P.O Box 190

    Simu: +255 272970648

    Simu ya Mkononi: 0754266833

    Barua Pepe: ded@karatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Karatu.Haki zote zimehifadhiwa