• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Complains |
Karatu District Council
Karatu District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dhamira na Dira
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
  • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
    • Hali ya Uwekezaji
      • Business License Form
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Hotuba kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha

WAFANYAKAZI WA AFYA NGAIBARA KUHAMIA KWENYE NYUMBA YAO

Posted on: August 26th, 2020

NA TEGEMEO KASTUS

Mkuu wa wilaya ya Karatu Mh. Abbas Kayanda ameridhishwa na ujenzi wa nyumba ya mganga na Muuguzi iliyojengwa  katika  zahanati ya Ngaibara. Kabla ya ujenzi wa nyumba hiyo two in one wauguzi na daktari walikuwa wanaishi nje eneo ilipojengwa zahanati.

Hayo yamesemwa Mh. Kayanda alipokuwa akielekeza juu ya uboreshaji wa huduma za afya katika zahanati hiyo. Amesema Mganga pamoja na wauguzi wanapaswa kuanza kutumia nyumba hiyo ili waweze kuhudumia wagonjwa pindi inapotokea dharura nje ya wakati wa kazi. Wakati huo huo Mh.Kayanda ameelekeza uwekaji wa Marumaru umalizike haraka ili huduma za afya ziendelee kama kawaida katika zahanati ya Ngaibara.

Mkuu wa wilaya ya Karatu Mh. Abbas Kayanda katika eneo la ujenzi wa maabara kituo cha afya Endabash

Mh. Kayanda ametembelea kituo cha afya Endabash na kujionea uwekaji wa jamvi unaoendelea kwa siku ya pili katika utekelezaji wa ilani ya chama cha mapinduzi unaolenga kuimarisha  miundo mbinu katika sekta ya afya. Ujenzi wa jengo la maabara ukikamilika utasaidia kuimarisha huduma za utoaji wa afya katika  kituo  cha afya Endabash.

Mh. Kayanda ametembelea mradi wa ujenzi wa madarasa mawili shule ya sekondari Qaru ambayo yapo katika hatua za uchimbaji wa msingi. Fedha za ujenzi wa madarasa hayo zimetolewa na EP4R, na Mpaka sasa ukusanyaji wa mawe na mchanga kwa ajili ya ujenzi wa msingi umefanyika. Ujenzi wa madarasa hayo unatarajiwa kufanyika ndani ya kipindi kisichozidi siku tisini( miezi mitatu)

Mkuu wa wilaya Mh. Abbas Kayanda katika eneo la ujenzi wa madarasa mawili shule ya sekondari Qaru.

Matangazo

  • WALIOCHANGULIWA KIDATO CHA KWANZA - 2023, HALMASHAURI YA KARATU December 14, 2022
  • LAKE EYASI CULTURAL TOURISM PROGRAM NEW ENTRY FEE December 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA 111 NA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA 11 May 07, 2021
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • MIAKA (61) YA UHURU MKUU WA WILAYA YA KARATU MHE DADI HORICE KOLIMBA AFUNGUA MDAHALO WA MAENDELEO WILAYA YA KARATU.

    December 09, 2022
  • MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANGANYIKA

    December 09, 2022
  • MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANGANYIKA

    December 09, 2022
  • LAKE EYASI CULTURAL TOURISM TO BE IMPROVED

    November 08, 2022
  • Angalia Zote

Video

NDUGU. EDWARD MAURA MWENYEKITI WA BARAZA LA WAFUGAJI NGORONGORO
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fursa za Uwekezaji

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Wizara ya Fedha na Mipango
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karatu District Council

    Sanduku la Posta: P.O Box 190

    Simu: +255 272970648

    Simu ya Mkononi: 0754266833

    Barua Pepe: ded@karatudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Karatu.Haki zote zimehifadhiwa