Posted on: May 3rd, 2019
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mkoa wa Arusha ameendelea kupokea wanachama wapya kutoka vyama vya upinzani. Ndugu Saanare amewaapisha wanachama hao wapya na kuwapa kadi za chama cha mapinduzi...
Posted on: May 1st, 2019
Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi yamefanyika kwa maandamano ya amani na kupokelewa na Mhe. Theresia Mahongo Mkuu wa wilaya ya Karatu katika uwanja wa mazingira bora. Kauli mbiu ya maadhimisho ...
Posted on: April 30th, 2019
Kikao cha baraza la madiwani kimeendelea kwa siku ya pili leo, na kimejadili taarifa mbalimbali za kamati. Kikao kimefanyika katika ukumbi wa Halmashauri na kuongozwa na Mwenyekiti wa Halmashaur...