Posted on: February 22nd, 2019
Shirika la kikristo la Compassion limefanya semina ya siku tatu juu ya namna kumlinda mtoto juu ya unyanyasaji. Semina hiyo iliyoisha jana katika kanisa la T.A.G Karatu imehusisha wadau wanaojihusisha...
Posted on: February 21st, 2019
Afisa elimu sekondari amefanya ziara jana katika shule ya sekondari Baray na Shule ya sekondari Qang’dend. Katika ziara yake alipata wasaha wa kuwaasa wanafunzi na kuzungum...
Posted on: February 18th, 2019
Waziri wa mambo ya ndani Mhe. Kangi Lugola leo amezungumza na wananchi wa Karatu katika viwanja vya Mazingira Bora.Wananchi walipata wasaa wa kuzungumza kero zao mbalimbali mbele ya Waziri.
M...