Posted on: January 31st, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Karatu Mhe. Theresia Mahongo leo amefanya mkutano wa hadhara na wananchi wa Kambi ya Simba. Katika mkutano huo Mhe. Theresia Mahongo amewaomba wananchi wa kijiji cha Kambi ya Simba k...
Posted on: January 25th, 2019
Bodi ya huduma za afya ya wilaya ya Karatu imezinduliwa jana na Mkuu wa Wilaya ya Karatu Mhe. Theresia Mahongo katika Ukumbi wa Halmashauri ya Karatu. Mhe. Theresia amewaomba wajumbe walioteuliwa kusa...
Posted on: December 22nd, 2018
Na Tegemeo Kastus
Zoezi la kugawia wafanyabishara wadogo vitambulisho vya biashara limefanyika leo katika uwanja wa Mazingira bora Karatu. Zoezi hilo limezinduliwa na Mkuu wa wilaya ya Karatu Mhesh...