Posted on: December 19th, 2018
Na Tegemeo Kastus
Kijiji cha Endesh kata ya Baray jana kimepata hati miliki ya kimila baada ya zoezi la kupanga matumizi bora ya ardhi kukamilika kwa kushirikiana na (UCRT ) Ujamaa community resour...
Posted on: December 17th, 2018
Na Tegemeo Kastus
Uzinduzi wa uogeshaji wa mifugo Umefanyika kimkoa jana katika kijiji cha Endabash Tarafa ya Endabash. Zoezi lilihusisha wataalamu wa mifugo wa Mkoa wa Arusha sambamba na wataalamu...
Posted on: December 8th, 2018
Na Tegemeo Kastus
Kikao kazi cha bonde la kati kimefanyika jana katika ukumbi wa Halmashauri, kikao hicho kililenga kuwajengea uwezo watendaji wa Halmashauri pamoja na kamati ya ulinzi na ...