Posted on: December 8th, 2018
Na Tegemeo Kastus
Kikao kazi cha bonde la kati kimefanyika jana katika ukumbi wa Halmashauri, kikao hicho kililenga kuwajengea uwezo watendaji wa Halmashauri pamoja na kamati ya ulinzi na ...
Posted on: November 5th, 2018
Na Tegemeo Kastus
Naibu waziri wa kilimo Mheshimiwa Omary Mgumba amefanya ziara katika Halmashauri ya Karatu jana. Ziara hiyo ya Naibu Waziri ililenga kujionea shughuli za kilimo na umwagiliaji, na...
Posted on: October 30th, 2018
Na Tegemeo Kastus
Matokeo ya kitaifa ya mtihani wa darasa la saba yaliyotangazwa hivi karibuni na katibu wa baraza la mitihani Dkt. Charles Msonde yameiletea Halmashauri ya wilaya ya Karatu h...