Posted on: July 27th, 2021
NA TEGEMEO KASTUS
Ukipewa dhamana ya uongozi unatakiwa uwe mfano kwenye jamii kwa kuishi kwa maadili ya uongozi ili uweze kuongoza wananchi vyema. Uongozi sio kujiamulia mambo kadri unavyotaka wewe...
Posted on: July 14th, 2021
NA TEGEMEO KASTUS
Nawapongeza shule ya sekondari Ganako kwa matokeo mazuri ya kidato cha sita, matokeo mazuri waliyopata yajenge ari kwa shule nyingine kufanya vizuri. Kiwango cha ufaulu kili...
Posted on: July 13th, 2021
NA TEGEMEO KASTUS
Lazima tuongeze juhudi katika kusimamia ukusanyaji wa mapato ili tuweze kuendelea kujenga miradi ya maendeleo. Kuna wafanyabiashara wanabiashara zaidi ya moja lakini wa...