Posted on: June 11th, 2020
NA TEGEMEO KASTUS
Watumishi waliotumia fedha kiasi cha 2,547,000 zilizokuwa sehemu ya ushuru wa mapato mbalimbali ya Halmashauri wamezirejesha. Watumishi hao ni bwana Mbulaingi Wali Mtendaji wa kij...
Posted on: June 8th, 2020
Na Tegemeo Kastus
Mpango wa matumizi bora ya ardhi hauna uhusiano na kuchukua( kunyang’anya) ardhi ya wananchi. Ni utaratibu wanaojiwekea wananchi wenyewe kupanga matumizi bora ya ardhi yao kutokan...
Posted on: June 6th, 2020
Na Tegemeo Kastus
Kazi zote zinazofanywa na watumishi wa umma ni utekelezaji wa ilani ya chama cha mapinduzi, kila mmoja awajibike mahali pa kazi. Kata ya Mbulumbulu mambo mengi yametekelezwa...