Posted on: February 4th, 2020
Mkuu wa wilaya ya karatu Mhe. Theresia Mahongo, ametembelea na kuzungumza na waathirika wa mafuriko yaliyotokea kata ya Mang’ola. Katika ziara hiyo mkuu wa wilaya aliambatana na kamati ya ulinzi na us...
Posted on: January 31st, 2020
Sumu kuvu ni aina ya kemikali sumu inayozalisha ukungu au fangasi. Sumu kuvu inatokea kwenye mazao ya nafaka; mahindi, maharage, kunde na mbegu za mafuta. Shirika la afya duniani (WHO)katika taarifa y...
Posted on: January 25th, 2020
Mkuu wa wilaya ya karatu Mhe. Theresia Mahongo amefanya mkutano wa hadhara na wananchi wa kijiji cha Matala. Mkutano huo ulilenga kubaini watu wanaojihusisha na uhalifu katika maeneo ya Matala, Yaeda ...