Posted on: December 17th, 2019
Uongozi wa Halmashauri ya kijiji cha Qaru uliomaliza muda wake umekabidhi nyaraka na Mali za kijiji kwa uongozi ulioingia madarakani.Makabidhiano yamefanyika katika ukumbi wa ofisi ya kijiji cha Qaru ...
Posted on: December 12th, 2019
Wajumbe wa ALAT mkoa wa arusha wamemaliza kikao chao cha siku mbili wilaya ya karatu. Baada ya kufanya kikao chao cha ndani amabacho pamoja na mambo mengine wamejadili maadhimio waliyoweka katik...
Posted on: December 6th, 2019
Shirika la United Nations Development Programs (UNDP) kwa kushirikiana na wataalamu wa chuo kikuu cha SUA wamekabididhi mashine kumi za kutengenezea nishati mbadala ya kutumia masalia ya shambani. Mak...