Posted on: December 21st, 2019
Mtaa ni eneo ambalo hutokana na kugawanywa kwa maeneo ya kata za mijini, Mamlaka ya Mji ndiyo inayoamua idadi ya kaya ambazo zitaunda Mtaa mmoja. Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika tarehe...
Posted on: December 18th, 2019
Wawezeshaji wa mpango na bajeti ya masuala ya lishe kwa ngazi ya mikoa na Halamashauri chini wametoa semina elekekezi kwa wakuu wa idara Halmashauri ya wilaya ya Karatu. Semina hiyo ya sik...
Posted on: December 17th, 2019
Uongozi wa Halmashauri ya kijiji cha Qaru uliomaliza muda wake umekabidhi nyaraka na Mali za kijiji kwa uongozi ulioingia madarakani.Makabidhiano yamefanyika katika ukumbi wa ofisi ya kijiji cha Qaru ...