Posted on: September 2nd, 2019
Kikao maalum cha baraza la Madiwani kimefanyika katika ukumbi wa Halmashauri. Kikao hicho maalum kilikuwa na ajenda moja, ambayo ilikuwa inamhusu mwenyekiti wa Halmashauri. Kilihudhuriwa na mwakilishi...
Posted on: August 31st, 2019
Mkuu wa mkoa wa Arusha amehitimisha ziara yake ya siku tano wilayani Karatu, kwa kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na kutatua kero za wananchi. Mkuu wa mkoa ametembelea pia m...
Posted on: August 30th, 2019
Mkuu wa mkoa wa Arusha amefanya ziara katika tarafa ya Eyasi Mang’ola ametembelea miradi na kuzungumza na wanachi pamoja na kusikiliza kero. Katika ziara hiyo mkuu wa mkoa alifanya mkutano wa hadhara ...