Posted on: August 11th, 2019
Kamati ya siasa ya chama cha mapinduzi imefanya ziara katika Tarafa ya Eyasi na kutembelea miradi mbalimbalimbali ya maendedeleo. Ziara hiyo iliyoingia siku ya pili imetembelea miradi ya elimu na afya...
Posted on: August 10th, 2019
Kamati ya siasa ya chama cha mapinduzi imetembelea mradi wa soko kuu la mjini Karatu, mradi ambao umefika katika hatua za upauzi. Sambamba na ukaguzi huo kamati hiyo imetoa muda kwa Halmashauri kukami...
Posted on: August 10th, 2019
Kamati ya siasa ya chama cha mapinduzi imetembelea jengo la zahanati kijiji cha Kainam Rhotia kujionea hali ya ujenzi wa jengo la zahanati. Jengo hilo la zahanati lililoanza kujengwa takriban miaka ku...