Posted on: August 2nd, 2019
Mkuu wa wilaya ya Karatu Mhe. Theresia Mahongo amezindua kampeni ya “jiongeze, tuwavushe salama tupunguze vifo vitokanavyo na uzazi. Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Halimashuri ya...
Posted on: August 2nd, 2019
Mkuu wa wilaya ya Karatu Mhe.Theresia Mahongo amefungua kikao cha wadau wa afya katika kitengo kinachohusiana na maswala ya lishe. Kikao cha wadau wa lishe kilienga kuendelea kujenga elimu ya ufahamu ...
Posted on: July 27th, 2019
Afisa elimu sekondari Bi, Kalista Maina ameendelea na ziara yake ya kutembelea shule za sekondari wilayani karatu. Ziara yake imelenga kujionea utendaji kazi wa walimu pamoja na kutambua kero za kitaa...