Posted on: July 25th, 2019
Afisa mwandikishaji wa ngazi ya jimbo ndugu Waziri Mourice amewashukuru wafanyakazi walioendesha zoezi la uandikishaji wa maboresho ya daftari la wapiga kura. Wafanyakazi hao wa muda wamekusanyi...
Posted on: July 24th, 2019
Zoezi la maboresho ya daftari ya wapiga kura limefika katika siku yake ya mwisho. Siku ambayo watu wengi wamejitokeza kujiandikisha na kuboresha taarifa zao katika daftari la maboresho la wapiga kura....
Posted on: July 23rd, 2019
Afisa elimu sekondari Karatu ameendelea na ziara yake ya kukagua mikakati yake ishirini na tano aliyotoa maelekezo kwa walimu. katika ziara yake shule ya sekondari Ganako amefuatilia maendeleo ya kita...