Posted on: July 16th, 2019
Kikao maalum cha baraza la madiwani kwa ajili ya kujadili taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa serikali ya hesabu za Halmashauri za mwaka wa fedha ulioisha tarehe 30/june/2018 kimefanyika katika uku...
Posted on: July 15th, 2019
Semina ya wataalamu wa BVR na Maafisa wasaidizi waandikishaji imefanyika katika ukumbi wa Karatu sekondari. Semina hiyo ya siku mbili imelenga kuwajengea uwezo maafisa waandikishaji wasaidizi utayari ...
Posted on: July 13th, 2019
Mkuu wa wilaya ya Karatu Mhe. Theresia Mahongo amefanya mkutano wa hadhara na wananchi wa wilaya ya karatu. Mkutano huo umefanyika katika uwanja wa mazingira bora na ulilenga kuhamasisha watu juu ya m...