Posted on: July 1st, 2019
Mkuu wa wilaya ya Karatu Mhe. Theresia Mahongo amefanya ziara katika kata ya Kansay na kutembelea zahanati ya Ng’aibara na Zahanati ya Laja. Amekagua miundo mbinu ya zahanati hizo, pamoja na kuangalia...
Posted on: July 1st, 2019
Mhe. Mkuu wa wilaya ya Karatu amefanya kikao na wananchi wa kijiji cha Laja na kusikiliza kero zao zinazo wasumbua. Katika mkutano huo na wananchi umehudhuriwa na watendaji kutoka Wi...
Posted on: July 1st, 2019
Mkuu wa wilaya ya Karatu ameahidi kupeleka huduma ya maji kwenye kijiji cha Laja na vijiji vya jirani. Mhe. Theresia amesema hayo katika mkutano na wanakijiji wa kijiji cha Laja alipokuwa akisikiliza ...