Posted on: July 2nd, 2019
Mpango wa matumizi ya ardhi umezinduliwa katika kijiji cha Dumbechand na mkuu wa wilaya ya Karatu. Uzinduzi umefanyika katika mkutano wa hadhara uliohusisha wananchi na viongozi wa Halmashauri y...
Posted on: July 1st, 2019
Mkuu wa wilaya ya Karatu Mhe. Theresia Mahongo amefanya ziara katika kata ya Kansay na kutembelea zahanati ya Ng’aibara na Zahanati ya Laja. Amekagua miundo mbinu ya zahanati hizo, pamoja na kuangalia...
Posted on: July 1st, 2019
Mhe. Mkuu wa wilaya ya Karatu amefanya kikao na wananchi wa kijiji cha Laja na kusikiliza kero zao zinazo wasumbua. Katika mkutano huo na wananchi umehudhuriwa na watendaji kutoka Wi...