Posted on: June 21st, 2019
Mganga mkuu wa wilaya Dkt. Mustafa Waziri amewaomba wakazi wa Karatu wajitokeze kwa wingi kujiandikisha katika bima ya afya iliyoboreshwa. Ni vyema watu wakawa na bima kwa sababu itasaidia kuboresha u...
Posted on: June 21st, 2019
Wasimamizi watakao husika na mfumo wa usajili ICHF wamefanya semina ya siku mbili katika ukumbi wa Halmashauri. Semina hiyo imelenga kuwapa uwezo wa kufahamu mambo yanayohusu mfumo wa usajili wa ICHF ...
Posted on: June 20th, 2019
Kiongozi wafanyabiashara ndugu Charles Goranga amemshukuru mkuu wa wilaya kwa kuendesha kikao na wafanyabiashara. Kikao hicho cha wafanyabiashara kimehusisha watendaji mbalimbali wa Halmashauri na Kuo...