Posted on: June 7th, 2019
Kasi ya magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya ngono isiyo salama imeongezeka duniani. Utafiti uliofanywa na shirika la afya WHO na baadae taarifa yake kutolewa na kituo cha televisheni cha CNN umesema ...
Posted on: June 5th, 2019
Shule ya sekondari Dr. Wilbroad Slaa na Shule ya sekondari Endala zimetembelewa na kamati ya fedha ya Halmashauri. Kamati hiyo ilienda kutembelea kuona namna shule hizo zilivyotumia fedha za ujenzi wa...
Posted on: June 5th, 2019
Kamati ya fedha imetembelea jengo la utawala la shule ya sekondari Endabash na jengo la utawala la shule ya sekondari Kansay. Kamati imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa majengo hayo yaliyo katika hatua ...