Posted on: May 27th, 2019
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo amefanya ziara katika eneo linalojengwa hopitali ya Wilayaya karatu katika kijiji cha Changarawe. Ameangalia ujenzi wa jengo la Maabara, jengo la wagonjwa wa n...
Posted on: May 26th, 2019
Mkuu wa wilaya ya karatu Mhe. Theresia Mahongo amewakataza wananchi wa Tarafa ya Eyasi kuchoma moto katika chanzo cha maji Qangdend. amesema chanzo hicho kikiharibika wananchi wa mang’ola hawataendele...
Posted on: May 26th, 2019
Maadhimisho ya siku ya wauguzi yamefanyika katika tarafa ya Eyasi wilayani Karatu. Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa Mkuu wa wilaya ya Karatu Mhe.Theresia Mahongo ndiye aliyapokea maandamano...