Posted on: May 26th, 2019
Maadhimisho ya siku ya wauguzi yaliyofanyika katika kituo cha afya Mbuga Nyekundu, yamefanyika kwa ufanisi mkubwa. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni wauguzi mbiu inayoongoza afya kwa wote.
Dkt. Mus...
Posted on: May 21st, 2019
Rais wa mfuko wa kimataifa na maendeleo ya kilimo (IFAD) Mhe. Gilbert Houngbo ametembelea ghala la wakulima wa vitunguu Mang’ola. Amejionea namna ghala la vitunguu linavyofanya kazi pamoja na kuzungum...
Posted on: May 20th, 2019
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Karatu pamoja na watendaji wa Halmashauri wametembelea eneo la stand ya mabasi ya Karatu. Ziara hiyo ililenga kujionea hali ya miundo mbinu ...